Itel tablet notification bar imegoma haishuki nifanyeje

Jotojiwe

JF-Expert Member
Mar 24, 2012
335
130
Wadau wa jukwaa hili habari,
Nina itel1702 prime11 ambayo kwa kustukiza tu naona ile notification bar na ile sehemu ya juu kama haisensi hivi maana kila nikitouch kitu kilichoko eneo hilo inakua kimya, naombeni ufahamu kama kuna mwenye uzoefu na hilo.

Natanguliza shukrani zangu.
 
Back
Top Bottom