Nitaijuaje Power bank original?

DesertStorm

JF-Expert Member
Nov 22, 2015
3,005
2,409
Habari wana jf!

Kwa mtu mwenye uzoefu wa power bank za kuchajia simu naomba kusaidiwa! ni mAh ngapi ndio nzuri na inauwezo mkubwa wa kuchaji simu hata mara 4 ikiwa simu haina chaji kabisaa? namaanisha (Empty)
 
Kama una bajeti ya kutosha tafuta puku power bank I think inauzwa laki na nusu ila ni very reliable
 
51ofU12RyKL._SL1500_.jpg
 
mkuu battery yenyewe ni hiyo ya Note 3, kwa hapo dar zinapatikana maeneo gani! pia unanishauri nichukuwe ya mAh ngapi? na bei yake tafadhali
 
mkuu battery yenyewe ni hiyo ya Note 3, kwa hapo dar zinapatikana maeneo gani! pia unanishauri nichukuwe ya mAh ngapi? na bei yake tafadhali

battery yako ni 3200mah so ili uwe comfortable kucharge mara nne atleast uwe na powerbank ya 15,000 mah.
tembelea hii thread hapa itakusaidia
Feedback Baada ya Kununua PowerBank na Ushauri Kwa Wengine

hio thread zimetajwa powerbank nzuri, jinsi ya kuzijua fake (zipo nyingi sana fake), bei zake na mahala zilipo
 
Mi nnazo original za mAH 20000 na mAH 10800 zote unaweza kuchaji kwa umeme na ukiwa sehe ambayo haina umeme zinatumia solar ni nitumie namba yako yako ya whatsapp nikutumie picha
 
Mi nnazo original za mAH 20000 na mAH 10800 zote unaweza kuchaji kwa umeme na ukiwa sehe ambayo haina umeme zinatumia solar ni nitumie namba yako yako ya whatsapp nikutumie picha

Mwakij hiyo ya 20000 kwa battery yangu 3200 inauwezo wa kuchaji 4times a day?
 
battery yako ni 3200mah so ili uwe comfortable kucharge mara nne atleast uwe na powerbank ya 15,000 mah.
tembelea hii thread hapa itakusaidia
Feedback Baada ya Kununua PowerBank na Ushauri Kwa Wengine

hio thread zimetajwa powerbank nzuri, jinsi ya kuzijua fake (zipo nyingi sana fake), bei zake na mahala zilipo

ahaa...kuna rafiki yangu anayo ya mAh 25000 ina USB charge tatu na tochi mbili inayo left and right ni original anavyodai, kanunulia nje...kwa hapo dar sijajuwa kama zinapatikana na kama zitakuwepo huwenda zikawa ghali sana Chief
 
Mkuu kuna power bank za PINENG nazo ni nzuri mno ukiipata original kama ikiwa full charge utachaji simu yako mara nyingi
 
Ipo ya 20000mAh ni tsh.80000/= hapo kariakoo ila inapatikana ktk maduka machache sana kwa ufupi ni adimu ila ukiipata utafurahia maisha
 
Ipo ya 20000mAh ni tsh.80000/= hapo kariakoo ila inapatikana ktk maduka machache sana kwa ufupi ni adimu ila ukiipata utafurahia maisha

ahaa nashkuru sana mkuu kwa ushauri mzuri mungu akubariki, bila kuwasahau Chief mkwawa, franco15, mwakij, na wengine wote mliochangia Mungu awabariki, asanteni sana
 
Mimi natumia power bank ya Tiger
uwezo ni 9000 mAh 33.3Wh pia ina tochi

nilinunua mwezi wa nane..inachaji Mara nne kwa siku..betri ya simu yangu ni 1800 mAh ..
 
Mimi natumia power bank ya Tiger
uwezo ni 9000 mAh 33.3Wh pia ina tochi

nilinunua mwezi wa nane..inachaji Mara nne kwa siku..betri ya simu yangu ni 1800 mAh ..

ahaa basi simu zinatofautiana kamanda..yakwangu ni note3, betri yake 3200 inahitaji power kubwa kwanzia mAh 15000-20000
 
Back
Top Bottom