unaweza kuitrack kama ulikuwa umeinstal find my iphone app uki log in kwenye iCloud account yako. Nakama Sipo na latest iOS ukiwa umelock na your apple id there isn't much they can do. They will need your apple id for it to be opened or used.
Angalau amejaribu lakini kuliko kukaa kimya maana hapo ukiingia www.icloud.com una log in icloud account yako unatafuta FINDMYIPHONE inakupa location ya pale ambapo huyo mtu alieiba yupo kama itakuwa imewasha na kuanza kuifuatilia au kama aliekuibia ni rafiki yako au mtu wa karibu kwa kujua location inaweza kukusaidia hata kujua hilo eneo anakaa nani kati ya hao woteNaona hajui vizuri unachomshauri mwenzio
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...823-jinsi-ya-kupata-iphone-5-niliopoteza.htmlNimeibiwa iPhone 4s naweza je kuipata?kuitrack?