Simu inadai factory reset mara kwa mara.

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,526
1,409
Simu yangu huawei,karibu kila wiki inaji_restart ikiwaka inataka nifanye factory reset,reboot au backup,kitu kinachonogharimu kudown load upp zote upya,hali hii inatokea hata kama nikiondoa automatic reset..tatizo ni nini,huko nyuma haikuwa hivyo,msaada
 
Back
Top Bottom