Naombeni msaada

PHILE1879

JF-Expert Member
May 6, 2013
636
473
Kompyuta yangu Dell D620.
Nilii Factory reset .Ilipofika 20% ikiisntall windows updates Chaji ikakata na kuzimika.Nilipoiwasha inaonyesha IKO 64% .inawaka na kujizima kwa kuendelea.
Sasa Nimeshindwa la kufanya.Kwa kuwa mambo ya kompyuta ni kiingereza usihisi vibaya kutoa mchango wako kwa Kiswahili Au Kiingereza.Thanks in Advance
 
Inapokuwa inazima ni ghafla tu au Kuna message inaleta? Je screen inabadilika kuwa blue au kawaida?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom