Nina 10000 natafuta mtu anifanyie update from KitKat to Lollipop

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,306
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nina simu yangu ya itel 1503 yenye version ya kitkat nataka iwe na lollipop version, nimeshairoot tayari.

So kwa mtaalam yoyote wa mambo haya aliyepo Dodoma anaeweza fanya jambo hili anicheki kwa simu .

0676747926.
 
Hakuna kisichojibika siku hizi kwa mwenye uekewa wa kutumia mtandao....(google)ili mradi anayeuliza awe ameuliza swali vzr...ki ufupi hiyo simu yako haijapewa uwezo wa kupokea updates..
 
Afanyeke ili iweze pokea hizo update
 
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nina simu yangu ya itel 1503 yenye version ya kitkat nataka iwe na lollipop version, nimeshairoot tayari.

So kwa mtaalam yoyote wa mambo haya aliyepo Dodoma anaeweza fanya jambo hili anicheki kwa simu .

0676747926.
Mkuu Gambas,kwa sasa huwezi kui update simu yako ya Itel 1503 kwa official ROM (STOCK ROM),bali unaweza tu kwa kui update kwenda Lollipop kwa CUSTOM ROMS.
CUSTOM ROMS ni zile software za simu ambazo zimebadilishwa na kufanyiwa maujanja ili kuendana na matakwa ya mteja.
Kuna mchakato mrefu kidogo wa ku update simu yako na ya aina hizo ili zipate Custom Roms.
 
Mkuu bongo soft guru sasa utanisaidiaje?? kwa official najua haiwezekani ndiyo maana nikataka mtaalamu kwa namna hiyo ya software
 
Kwani kuna tofauti gani kati ya kitkat na lollipop. Nilikua natumia sim ya kitkat sasa nipo kwenye version ya lollipop 5.1.1. Ila kwa ushamba wangu naona ni vile vile.
 
simu nyingi za mediatek hazina custom rom sababu mediatek hawataki kuweka mambo yao open ili madeveloper watumie, ukikuta rom ya mediatek ujue ni juhudi tu za madeveloper na nyingi zao sio stable sana.
 
Kwani kuna tofauti gani kati ya kitkat na lollipop. Nilikua natumia sim ya kitkat sasa nipo kwenye version ya lollipop 5.1.1. Ila kwa ushamba wangu naona ni vile vile.
Ujana unatusumbua... nilipokuwa nanunua Samsung E5 walisema ipo na Kitkat na wakasema wangetuma Updates to Lollipop in 6 month... wakatoa na expected date kabisa! Ili nisipitwe, wiki husika nikaiweka kwenye Calendar kabisa ili nisisahau!! Na kweli, siku hiyo hiyo waliyotuma nikapata updates na within few minutes nika-update kabisa!!! Anyway, labda kv mie ni mpenzi zaidi wa laptop kuliko simu (ambayo sina mapenzi kabisa na simu zaidi ya kuona inanipotezea muda) otheriwise sijaona faida yoyote ya maana zaidi ya kuwa na amazingi displays!!!
 
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nina simu yangu ya itel 1503 yenye version ya kitkat nataka iwe na lollipop version, nimeshairoot tayari.

So kwa mtaalam yoyote wa mambo haya aliyepo Dodoma anaeweza fanya jambo hili anicheki kwa simu .

0676747926.
Sidhani hata kama utapata custom rom kwa hyo simu..hata ukipata itakua inakusumbua tu kila siku
 
Naombeni msaada wadau, ka simu kangu ka samsung kananiletea habari nisizo zielewa kuwa battery has been damaged by virus ni instal kitu kinaitwa dual battery saver. Naombeni munisaidie kuwatoa hawa virus nafanyaje?
 
kwa huo uelewa wako mfupi unajua kuna aina ngapi za kupata version ya simu??? ukinijibu hapa nitashukuru
usibishane nae hajui!/kwamba simu za android zinauwezo wa kupokea appl na kuiondoa!/ na vyote vilivyopo ktk screen ya simu yako ni software appl/
 
Back
Top Bottom