Royal Warrior
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 1,166
- 2,144
Amani iwe juu yenu wana jf.
Hivi karibuni nmejiunga na mtandao wa Halotel. Lakini bado sijajua bandle unajiunga vipi. Haswa unlimited za Internet. Kwa anaejua tafadhal naomba anijuilishe.
Thanks in advance