O Olympus JF-Expert Member Jul 27, 2013 2,818 687 Jan 23, 2016 #1 Kuna mtu anayejua jinsi naweza pata hii decoder ya AbuDhabi TV
jun bao Senior Member Jan 13, 2016 154 41 Jan 23, 2016 #2 Nunua decoder za campun ya S.O.N utapata iyo channel unayo itaka, sema ni bei yake iko juu kweli
Mr Hero JF-Expert Member Jun 11, 2015 5,540 7,452 Jan 23, 2016 #3 jun bao said: Nunua decoder za campun ya S.O.N utapata iyo channel unayo itaka, sema ni bei yake iko juu kweli Click to expand... mkuu OSN au SON?
jun bao said: Nunua decoder za campun ya S.O.N utapata iyo channel unayo itaka, sema ni bei yake iko juu kweli Click to expand... mkuu OSN au SON?