PRISCUS JR
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 448
- 236
Naomba msaada kwa anayejua unlock network code ya nokia lumia 520 nimepewa na dada alitumiwa kutoka Uk bado ni Mpya inatumia windows 8.0
UK ilikuwa inatumia mtandao/Carrier gani mkuu PRISCUS JR?Naomba msaada kwa anayejua unlock network code ya nokia lumia 520 nimepewa na dada alitumiwa kutoka Uk bado ni Mpya inatumia windows 8.0
Carrier ni EE haijawai tumika kabisa kwa mujibu wa aliyetumiwaUK ilikuwa inatumia mtandao/Carrier gani mkuu PRISCUS JR?
Mkuu,hapo inabidi tu u google site ambazo zinaaminika kwa kutuma Network Unlock codes na ulipie.Carrier ni EE haijawai tumika kabisa kwa mujibu wa aliyetumiwa