Habari wana jamvi..
Leo Mamlaka ya mawasiliano (TCRA)imetangaza kuzima au kutoziwezesha simu ambazo hazina ubora kufanya kazi hapa tanzania,na zoezi hilo litaanza baada ya miezi sita kuanzia...
Habari, nimetengeneza video hii kuonesha japo kwa Ufupi, namna ya kutengeneza malazi kwa kutumia kontena (shipping container) la futi 40.Kwa hapa nimetumia wakazi kama ni wanafunzi.
Hii hapa;
Habari wakuu, nimetumiwa simu aina ya samsung, model number SGH-T139, IMEI number yake ni 012404/00/065516/7 kutoka CANADA, tatizo ni kwamba haishiki network za hapa bongo. Naomba kwa anayefahamu...
Nalitaka kuangalia tv live kupitia cm yangu na nimesha download kodi kama maelezo yako yalivyosema, sasanaona inaniletea kitu kama iko ivyo sielewi nijaze nn! media centre, adress, port, user name...
Habari zenu wakuu!
Mimi ni mtanzania niliefadhiliwa kwenda kusoma Iran, program DOCTOR OF MEDICINE.
Kwa nyie mnavyoijua Iran,mungenishauri niende au niikache mana sina aidia yoyote kuhusu Iran.
All Android Secret Codes here:
* # * # 4636 # * # *
Code that shows some information about your phone and battery of the same* it appears to enter 4 menus on screen:
* Phone information
*...
Wakuu salama,
Naomba msaada wenu wa haraka kuweza kupata hiyo simu yangu nimeibiwa muda mfupi tu
Polisi nimeshatoa taarifa, kwa sasa ukiipiga haiiti tena kama imezimwa, naomba taratibu za...
Wadau habari zenu, mimi nina shida moja napenda kuangalia mpira, shida ni kujua kingamuzi gani cha bei nafuu nijiunge ili niweze kupata Chanel nzuri za mpira na movie tofauti na dstv au cable gan...
Jamani mimi ni blogger, na nimejisajili adsense. Cha ajabu wameshanikubalia lakini tatizo sipati matangazo, na ninatumia template nzuri, yaani v2.
Hapo mwanzo niliwahi kuwa na adsense account...
Hey guys kwa wale wanaopenda fifa14. Gameplay,new teams, classic and all star teams,new boots , even u can make ur own patch... ingia ModdingWay - PES 2014, FIFA 14, NBA 2K14, FIFA 13, PES 2013...
Habari wataalamu..
Nina swala moja muhimu chini ya meza... Kuna simu inaitwa iPhone ukitaka ku 'update' software unaweza ukatumia wi-fi kupitia simu au ukatumia iTunes.
Swali langu ni ile simu...
Hawa jamaa wa cloudstv wamezindua channel Yao kwenye dstv wanasema itapatikana Africa yote hii imekaaje wadau naona kama kuna kamchezo hapo maana channel zote za e.africa huwa azionekani s.a...
na2mia Nokia 1320 window phone.... Nna shda ya kuupdate hii vision ya window nashindwa wanapo npa option moja 2 ya ku2mia WI-FI na sio MOBILE DATA.nashindwa hapo msaada tafadhali kw mweny kufaham...
I just wanted to see what sat I would get when l added this lnb to the western side of Astra 28.?°E and got Record Mozambique only and a score of empty TP's. Could this be 7° E?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.