Casting to analogue tv bila gharama.
Salaam wana JF. Jana kutwa nimeshinda kutafuta/kubuni njia ya kutazama download digital content ya simu kwenye tv yangu analogi kwa gharama ndogo (hali ya...
Wakuu napenda kufahamu wapi nnaweza kununua generator ya kuzalisha umeme kwa kutumia upepo (Windmill generato) angalau 200 watts .. na bei yake.
Natanguliza shukrani
Wadau-simu yangu ni Tecno L5 nikipokea picha, video au document inanibidi niangalie mda huohuo. Ikikaa dakika zaidi ya 10 nikitaka kufungua haifunguki inakuwa kama imeliwa na virus. Hi
Naomba ushauri
Kama umepakua programu ya QuickTime kutoka Apple kwenye kompyuta yako ya Windows unashuriwa kuiondoa mara moja
Watafiti mbalimbali wa mambo ya kiusalama wa kimitandao wamegundua ni rahisi sana...
Habari wanaJF
Kwa bahati mbaya nimefuta Chanel zote za tanzania kwenye Receiver yangu hivyo sipati tena chanel za hapa nchini, hivyo basi naomba msaada kwa mtu mwenye frequency za ITV, TBC...
Heshima kwenu wakuu. Nina tatizo kwenye simu yangu ninaomba msaada wenu. Ninatumia simu ya Sony Xperia L (C2105). Ni miezi minne sasa device hii inashindwa kutoa sauti kama ilivyokuwa mwanzoni...
Habari zenu wana JamiiForums,
Nilikuwa naomba msaada kwa yeyote mwenye software ya ku-recover memory card yangu maana ina picha nyingi na memory card ipo corrupted maana kila nikizidownload nyingi...
Hii game nimeipata muda mrefu sana ila hadi leo bado naicheza tu.. Utamu wa hii game icheze kwenye machine yenye high specs, ultra settings at full 1080p ukiwa na avarage 50+ FPS na monitor safi...
Salaam wakuu.
Ama baada ya salaam, kama mada inavyojieleza naomba kujua ni software gani itaniwezesha kubadili lugha kupitia audio ya movie ninayotazama wakuu.
Nimedownload hii movie IP MAN 3...
Tigo Announced this to their Facebook Page Today.
Sasa Usiku ni wako ukiwa na video za bure kutoka Tigo.
Furahia kuangalia video za YouTube bure usiku mzima bila kutozwa gharama za internet...
Wakuu kuna connector moja inatumika kuunga kingamuzi na deck yani input zipo sita then output ni Tatu zinaenda kwenye Tv hichi kidubwasha kinaitwaje? kina switch katikati yani ukiswitch huku...
Wakuu habari zenu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Laptop yangu imekuwa na tabia hiyo,nikiwa naitumia ghafla inastop kuplay (kama ni mziki au movie or any App in use) alaf screen inakuwa...
Wakuu habari ya majukumu,naomba mnisaidie nimeshrink disk yenye window then ikatengeneza unallocated free space disk sasa nataka hii disk niiweke kwenye local disk D.Je nitafanyaje kufanikisha...
habari ndugu zangu. Naomba kwa ambae lilishawahi kutokea hili kwake anisaidie nijue kama natendewa haki na Vodacom Mpesa.
Tarehe 3.3 nilikua natoa pesa bahati mbaya nikakosea nikatuma kwa...
Wakuu,
Noamba ushauri. Nataka kununua modem kwa ajili ya WiFi kwa matumizi ya nyumbani, hivyo users watakuwa kama 5 au 6. Sasa hivi kuna hii ya TTCL Huawei 4G, na pia kuna Airtel 'Wingo'. Najua...
Wadau hawa jamaa wa Zuku wametoka hapa kwangu sasa hivi kujipigia debe ili ninunue king'amuzi chao,sasa kwa anaejua tafadhali anijuze vipi kuhusu ubora wa matangazo yao na uzuri wa channel...