Msaada juu ya Umeme wa Upepo

Jstrong

Member
Mar 24, 2011
60
13
Wakuu napenda kufahamu wapi nnaweza kununua generator ya kuzalisha umeme kwa kutumia upepo (Windmill generato) angalau 200 watts .. na bei yake.
Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom