Software ya ku-recover memory card yangu!

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
1,220
1,225
Habari zenu wana JamiiForums,
Nilikuwa naomba msaada kwa yeyote mwenye software ya ku-recover memory card yangu maana ina picha nyingi na memory card ipo corrupted maana kila nikizidownload nyingi zinataka kulipia----please help MEMORY CARD DATA RECOVERY YOYOTE ILE
 
Back
Top Bottom