Jamani wale wenye uwezo wa kugundua tatizo hili linasabishwa na nini mnipe maujanja kuna pc hapa kila uki chagua programu na ku click inasema this program not responding nimetest kuiscan no virus...
Naombeni mwenye kujua key za hii application anisaidie maana najaribu kuinstall ila inadai key na baadae ukiweka key inadai authentication code Msaada tafadhali.[emoji120]
Wana jukwaa msaada kidogo hapa kila nikitaka kupakuwa app kutoka play store napata ujumbe huu.
Niliyo yafanya kabla sijaja hapa kuomba msaada nime
-clear cache
-Clear data
Lakini bado tatizo...
Smart phones are fast becoming an opium for the general population in Dar es salaam, infact it is a criterion upon which individuals are judged; to be plain, the more expensive your smart phone...
Habari wakuu.....
Mwaka juzi bosi wangu wa kichina alinibakishia makombo ya iphone wakati amemaliza mkataba wake hapa nchini....lakini baada ya kutumia hii kitu nimejikuta nimeshakuwa teja wa...
WhatsApp ni moja kati ya instant messaging(IM)
apps maarufu duniani na yenye watumiaji wengi
sana, takribani watumiaji milioni 700 duniani
kote. Ni IM bora ukilinganisha na zingine kwa
kigezo...
Tunatengeneza software kwaajili ya kampuni ku manage wafanyakazi wake
1. Mfumo wa namba ya mfanyakazi e.g. 100 50 000120
> 100 (1st three digits) zinasimama kama branch ya kampuni alipo mfanyakazi...
Wadau natumai mu wazima,
tatizo ni kama linavyojieleaza hapo juu, nimejaribu kuenda kwenye control panel, mashine ina detect external speakers na inaonesha ipo active lakini nikiplay hakuna sauti...
Wakuu tujadili na hapa ..Mi naona root acces si kwamba tu unapata uwezo mkubwa wa kuicintrol simu yako ikiwa kama kuweka custom roms na kuinstal some apps bomba..Ila Hasara yake kubwa inawapa...
Hivi karibuni nimeona vipindi LiVe vya matukio mbalimbali facebook ikiwa ni pamoja na BBC habari. Pia kuna watoto naona wanacheza kwenye playground moja wanachezea BMX na scooters wako Live...
Karibu wiki ya pili sasa napata shida hii. Kwa mfano nakuwa net nipo naperuz JF nikitaka kufungua tab mpya inatokea site nyingine kabisa mfano nakuta imefunguka site ya alibaba, flirchi, Meet...
Kampuni ya Whatsapp ikishirikiana na "Open Whisper Systems" wameongeza update mpya itakayofanya mawasiliano kati ya watu wawili kutoweza kusomeka na watu wengine ( serikali au waajiriwa wa...
Wakuu habar!
Kuna wakat android phone zetu wnyw tunazpenda sanaaa! Lkn kuna wakat zinaboa, kuna kero nyingi!
But this time, nataka tuwekane sawa juu la kero ya android smartphone zetu pind...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.