KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,232
- 5,850
Salaam wakuu.
Ama baada ya salaam, kama mada inavyojieleza naomba kujua ni software gani itaniwezesha kubadili lugha kupitia audio ya movie ninayotazama wakuu.
Nimedownload hii movie IP MAN 3 ila inaongea kichina kitupu, nimejaribu ku-right click na ku-check audio hakuna lugha ya ziada wala.
Naomba kujuzwa njia ya kufanya itakayoniwezesha kupata lugha ya kiingereza kwa audio yawezekana kama inavyowezekana kwa subtittle au kwa audio haliwezekani hili suala...?
Natanguliza shukran kwenu.
Ahsante.