simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,206
Casting to analogue tv bila gharama.
Salaam wana JF. Jana kutwa nimeshinda kutafuta/kubuni njia ya kutazama download digital content ya simu kwenye tv yangu analogi kwa gharama ndogo (hali ya fedha mbaya). Nimelipia daily m 150 mb voda na kuanza safari ya utafiti kwenye mtandao. Punde nimebaini hili linawezekana kwa kutumia digital to analogue converter ambayo bei siyo chini ya paundi ya malkia 60. Mkwamo !(hali ya fedha mbaya). Wahenga walisema necessity is the mother of invention - kingamuzi cha azam tv kinayo usb input kinachokuwezesha kurekodi kutazama digital content kwenye flash disk au simu(simu lazima iwepo kwenye mass storage mode UMS). Tatizo simu nyingi za android zinatumia mfumo MTP - mkwamo! Je inawezekana ku switch samsung smartphone version 4.4.4 and above to UMS? Yes kwanza inabidi u root simu yako. Njia rahisi ni kutumia Kingo root app KingoRoot APK, the Best One-Click Android Root app for free.. Baada ya ku root simu download hii universal mass storage enabler app hapa.
[APP][ROOT] USB MASS STORAGE Enabler . Unganisha simu na kingamuzi cha Azam kwa usb cable. Bonyenza media kwenye remote ya Azam halafu chagua video. Video zote zitaoredhswa kwenye screen yako ya tv. Faidi video kwenye screen ya tv. Jumapili njema.