Msaada-picha, video kwenye whatsap yangu

Wi_Fi

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
212
193
Wadau-simu yangu ni Tecno L5 nikipokea picha, video au document inanibidi niangalie mda huohuo. Ikikaa dakika zaidi ya 10 nikitaka kufungua haifunguki inakuwa kama imeliwa na virus. Hi

Naomba ushauri
 
Nenda kwenye whatsapp settings, chats and calls, media, save incoming media weka Tick
 
Back
Top Bottom