Elvicepride
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 243
- 65
Nataka nikanunue Huawei Y6 Pro nimewauliza Facebook(Huawei Tanzania) wameniambia nisogee Mwanza Mall naombeni mnishauri na bei yake ni 420,000/=,??
Kuna Y6 na Y6 Pro Mimi naongelea Y6 Pro hii haipo madukani kote naona ndio zimeingia,??ningekuwa mimi kwa simu mpya kwa budget hio ningenunua j5, warranty miaka 2, camera nzuri, kioo cha super amoled, inakaa sana na charge, na pia ina touchwiz mpya ina themes na ni nyepesi.
hio y6 pia sio mbaya ni almost kama j5 mambo mengi lakini naona kama inamiss 4g zetu na pia sijajua tigo watakupa warranty ipi.
na pia tigo wamekuambia wataibundle na nini? vifurushi/internet nk
nimemaanisha hio pro, imetoka mwaka jana mwezi wa 10Kuna Y6 na Y6 Pro Mimi naongelea Y6 Pro hii haipo madukani kote naona ndio zimeingia,??
Nimekuelewa.nimemaanisha hio pro, imetoka mwaka jana mwezi wa 10