Simu inaniambia......Unfortunately, the process com.android.phone has stopped........
Hii itakuwa ni nini........?
Mi niliipata baada ya ku upgrade to latest jelly bean
.
Ila njia rahisi ni ku fanya reset ktk custom recovery mode.....
.
Ila kuna jamaa alitumia AROMA japokuwa ina njia ndefu itakusumbua... Na tatizo linaweza likaendelea pia
.
Mzee mkwawa naomba unisaidie hapa nimedownload app ya whatsapp nika install vzrsasa kwenye kujiunga inasema phone no verification failed tatizo linaweza kuwa nn?
hio ni app tu imecrash.
mfano unacheza game linaitwa mkwawa basi process yake itaitwa com.android.mkwawa
kwa hio hapo com.android.phone inamaana ni ile dialer yako au kile ki app kinachoitwa phone ndo kina matatizo.
kwa sababu hio ni background process inawezekana inafanya kitu chini kwa chini na kufeli ndio maana inacrash.
ili tupate solution sasa itabidi useme simu yako, unatumia android gani, app gani ulieka karibuni mpaka hilo tatizo kuanza, na pia kama uli update simu useme.

Asante mkuu......natumia S4 na ni jelly bean 4.2.2.....zaidi ya hapo sijui tena.....
kama ni 4.2.2 ina maana huja update simu hivyo hili tatizo linasababishwa na app ulio install hivi karibuni ambayo ina share kitu na dialer yako.
jaribu kufanya hivi kumbuka apo ambazo ulipozieka tu hilo tatizo likaanza jaribu kuzitoa halafu tuone kama tatizo litaendelea au litaondoka