Nifanyaje niweze kuangalia ligi ya mpira ya Misri?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,873
Wataalamu wa jukwaa hili...
nifanyeje niweze tazama ligi ya mpira wa miguu ya Egypt?
kwa kupitia channels zipi?
nitaipataje?
 
chanell zinazoonesha
-Nilesport
-ON tv
-Al hayat

tv zote hizo zinapatikana satelite hii
Nilesat 201 at 7.0°W - LyngSat
ngoja mafundi dishi waje kukusaidia kama inapatikana

pia unaweza cheki kwa internet nimeona wana app playstore search nilesport utest.
 
Mwl pole kwa kazi bilious naomba msaada wako jinsi gani naweza kurumia sim kutoa vdio kupeleka kwenye tv
 
Mwl je na hiya life ya India channel zake ni zipi na kwenye android zinapatikana msaada wako mwl
 
Back
Top Bottom