Internet ya computer kwenda katika simu

poposindege

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
453
175
Habari wadau wa jukwaa la teknolojia.
Naomba kufahamishwa namna ya kushare internet iliyo katika laptop
kwenda katika simu kwa njia ya Wi-Fi. Utaalamu wangu unaishia kutoa Net katika simu kupeleka
katika laptop. Mwenye ujuzi/ufahamu juu ya hilo naomba anielekeze.
Ahsante.
 
  • Thanks
Reactions: Lee

Ziko program nyingi za kukuwezesha kufanikisha hili
Zipo ambazo ni free na zipo za kulipia

Za free ambazo ni bora ni
- mHotspot - Download | mHotspot
&
- MyPublic Wifi - MyPublicWiFi - Virtual Access Point

Kinachotakiwa kufanya ni ku connect modem kwenye PC yako, weka on WiFi, na fungua program ambayo umeweka.

KARIBU
 
Nimekuwa natumia hizo software kwenye Windows 7, lakini tangu nihamie Windows 10, zote hazifanyi kazi. Nyingine hadi zina connect kabisa ila ukitaka ku browse kwenye simu, pages zina fail.
 
Nimekuwa natumia hizo software kwenye Windows 7, lakini tangu nihamie Windows 10, zote hazifanyi kazi. Nyingine hadi zina connect kabisa ila ukitaka ku browse kwenye simu, pages zina fail.
cheki store zipo software, search tu neno hotspot
 
Back
Top Bottom