【Tip】Get root access with one click

KingRoot can root all version of Android with one clicking, you can have a try.
http://www.kingroot.net/wap/download
Nimeambiwa one issue needs attention "game booster" Enable?
Kwani ni lazima kuienable jamani? Maana me si mpenzi saana wa games.
Mkuu siwezi kukujibu ila Nashukuru kwa hii link ya kingroot mpya..sasa sony yangu z2 inaonekana sex kinooooooma..ubarikiwe kwa kuweka hii link.. Nilijaribu kipindi cha nyuma ikashindwa hope wame update ikakubali.
 
Back
Top Bottom