Msaada naombeni wataalamu wangu

memory card

JF-Expert Member
Dec 17, 2013
256
163
1} li desktop langu la fujtsu siemens esprimo e,lina 1.5 gb RAM sasa wakuu nilivyoligoogle likashow linatumia ddr 2 ram,je nikiweka ddr 3 athari gani zitatokea

2} naombeni mnijuze nikiupdate ram ya 2gb je hiyo 1.5 gb yangu ambayo ipo sasa kwa komputer itatoka au ataweka zifanye sum ya 3.5gb

3} ,naombeni mawasiliano ya fundi ataeweza kunifanyia hiyo kazi kwa umakini mi niko ubungo

4} AU MWENYE NAYO RAM YA 2GB tufanye deal
 
1. itategemea na slot ila kutokana na uzamani wa hio desktop huenda ina slot mbili moja imeekwa 1gb na nyengine imeekwa 512mb ndio maana inasoma 1.5gb.

hapo utachomoa ya 512mb na kueka ya 2gb hivyo total ram itakuwa 3gb.

2. huwezi kueka ram ya ddr3 kwenye ddr2 pin hazifanani na wala hazitachomekeka

560xNxddr2-vs-ddr3.jpg.pagespeed.ic.qZVlGPot3n.jpg

3. kubadili ram ni rahisi sana unaweza fanya mwenyewe fungua desktop utaziona ram chomoa ndogo chomeka kubwa hakuna ujuzi wa namna yoyote kila mtu anaweza badili.

mqdefault.jpg

machinga complex zipo ram za kutosha nafkiri ni 20,000 tu kwa 2gb.
 
asante sana chief
 
Back
Top Bottom