msaada microsoft lumia 535

amore

Member
Jan 29, 2015
16
2
nimatumain yangu muwazima wanajukwaa
naomba kusaidiwa namna gan naweza install program katika simu hii kwan currently nmefanya ku un install what app kutokana na ukubwa wa data ulijaza simu nilivyojaribu install inakataa had niwe kwenye wifi cz ni byte kubwa kwa cellular data though nna budle ya kutosha inagoma, pia some update za app zilizozid 20mb........ kuna namna ya kuondoa tatizo hil?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom