Huawei P9 hii hapa, mzigo ni mwezi huu!!

Wonderful

JF-Expert Member
Apr 8, 2015
7,347
5,985
Huawei P9
SPECIFICATIONS
  • 5.2"1080x1920 pixels
  • 12MP1080p
  • 4GB RAMHiSilicon Kirin 955
  • 3000mAhLi-Ion
Versions: EVA-L09 (Single SIM); EVA-L19, EVA-L29 (Dual SIM)

NETWORK
LAUNCH

Dimensions 145 x 70.9 x 7 mm (5.71 x 2.79 x 0.28 in)
Weight 144 g (5.08 oz)
SIM Single SIM (Nano-SIM) or Dual SIM (Nano-SIM, dual stand-by)
DISPLAY
Type IPS-NEO LCD capacitive touchscreen, 16M colors
Size 5.2 inches (~72.9% screen-to-body ratio)
Resolution 1080 x 1920 pixels (~423 ppi pixel density)
Multitouch Yes
Protection Corning Gorilla Glass 4
- Emotion UI 4.1
PLATFORM
OS Android OS, v6.0 (Marshmallow)
Chipset HiSilicon Kirin 955
CPU Quad-core 2.5 GHz Cortex-A72 & quad-core 1.8 GHz Cortex-A53
GPU Mali-T880 MP4
MEMORY
Card slot microSD, up to 128 GB (uses SIM 2 slot)
Internal 32 GB, 3 GB RAM (EVA-L19/EVA-L09)
64 GB, 4 GB RAM (EVA-L29)
CAMERA
Primary Dual 12 MP, f/2.2, 27 mm, Leica optics, phase detection autofocus, dual-LED (dual tone) flash
Features 1.25 µm pixel size, geo-tagging, touch focus, face/smile detection, panorama, HDR
Video 1080p@30fps
Secondary 8 MP, f/2.4, 1080p
SOUND
Alert types Vibration; MP3, WAV ringtones
Loudspeaker Yes
3.5mm jack Yes
COMMS
WLAN Wi-Fi 802.11 a/b/g/n/ac, dual-band, DLNA, WiFi Direct, hotspot
Bluetooth v4.2, A2DP, LE
GPS Yes, with A-GPS, GLONASS/ BDS (market dependant)
NFC Yes (EVA-L09 only)
Radio To be confirmed
USB Type-C 1.0 reversible connector
FEATURES
Sensors Fingerprint, accelerometer, gyro, proximity, compass
Messaging SMS(threaded view), MMS, Email, Push Mail, IM
Browser HTML5
Java No
- Active noise cancellation with dedicated mic
- XviD/MP4/H.265 player
- MP3/eAAC+/WAV/Flac player
- Document viewer
- Photo/video editor
BATTERY
Non-removable Li-Ion 3000 mAh battery
Stand-by
Talk time
MISC
Colors Ceramic White, Haze Gold, Rose Gold, Titanium Grey, Mystic Silver, Prestige Gold
 

Attachments

  • huawei-p9-2.jpg
    huawei-p9-2.jpg
    21.4 KB · Views: 40
Wataalamu fungukeni kama hii kitu iko poa tuanze kukusanya mapene!
 
kama zilivyo simu nyengine za kirin hio simu gpu yake ni ndogo sana inalingana na simu za 2013/2014.

vitu vyengine vipo ok kama cpu, camera na display.

subiria review zake zitoke kwanza
 
Hiyo simu imekuja kivingine na technology ya dual back cameras. Naona wameishtua industry ya simu kipekee
 
Hiyo simu imekuja kivingine na technology ya dual back cameras. Naona wameishtua industry ya simu kipekee

mkuu kaanza htc mapema tu, pia lg g5 ina dual camera.

mwaka 2014 htc m8 ina dual camera na reason yao wakasema ni refocus yaani uweze kufocus picha baada ya kuipiga. bahati mbaya Nokia alishakuja na solution ya software na siku hizi mpaka android 6 inakubali RAW pictures hivyo ikafeli

htc-one-m8-dual-camera-100388428-orig.jpg


lg g5 nayo ina dual camera wenyewe yao ni kuongeza upana wa eneo camera itakayochukua nafkiri hadi nyuzi 180 ila tayari tuna software solution inaitwa panorama so mi naona kama ni gimmick tu.

then kaja huawei nae anatuambia dual camera yake moja ni rangi nyengine black and white ili kuongeza mwanga kwenye picha kwenye maeneo ambayo mwanga ni mdogo. tayari tuna ios inafanya hivyo sitashangaa camera ya huawei ikipitwa tusibirie review.
 
Subiria hadi kesho HTC wa launch simu yao ndio uweze compare full ipi ni bora kati ya makampuni yote especially kwenye Camera quality.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom