computerkiddy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2015
- 488
- 534
nimekuwa nikijiuliza hili swali toka zamani kwamba kipi ni kizuri zaidi......being a web developer as a carrier or develeoping your own web and earn from it .help me to elaborate
kwangu mimi web developing ni part ya leadership natumia ujuzi wangu kutengeneza website ambazo ni msaada kwa jamii kama elimuyetu.co.tz. nimemaliza form 4 mwaka 2015 nafurahi kuwa digital change makernimekuwa nikijiuliza hili swali toka zamani kwamba kipi ni kizuri zaidi......being a web developer as a carrier or develeoping your own web and earn from it .help me to elaborate