[MSAADA] : Free App au Software Nzuri ya Ku-convert Videos mkv, mp4 kuwa avi kwa Simu au Pc.

KIOO

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
6,160
5,741
Heshima kwenu.

Kama mada husika inavyosema wakuu, naomba kujuzwa App au Software ambayo naweza ku-convert videos kwa urahisi na kwa haraka kiasi toka kwenye format tajwa hapo juu (mp4 na mkv) ziwe avi.

Na pia kama zitakuwa ni free itakuwa vyema zaidi wakuu, iwe ni kwa simu au pc yote ni sawa tu.

Natanguliza shukran. Thanks.
 
Mkuu, uwepo wako una faida kubwa sana JF.

So thanks kiongozi hii ni kwa simu au kwa pc mkuu...?.

Ila kwa kuwa umesema ni software natumai itakuw ni kwa pc mkuu, right...?.

Respect.
 
tumia Fomart Factory Ina Convert Video Mwili kwa wakati MMnoja na Kwa haraka zaidi
 
Jamani, nawashkuruni sana kwa msaada na michango yenu kwa jumla wakuu.

Katika software mlizonipa nimefanikiwa ku-download ila kwa walionishauri format factory naona kama imenipa kizungumkuti kiasi. Niki-download ikimaliza haioneshi kuwa ni format factory inaonesha kuwa fast-video-converter na pia inasema ni paid software ila trial wanakupa for limitation. Hapo nimeshindwa labda sjui mmefanyaje.



tumia Fomart Factory Ina Convert Video Mwili kwa wakati MMnoja na Kwa haraka zaidi



Tumia hii formart factory ni nzuri sana.

Pia, nime-download handbreak ambayo alinishauri Chief-Mkwawa nimeipenda pia ila ina vitu vingi mpaka kufkia ku-convert sjajua inakuaje.

Nimeiacha tu kwa pc sjafanikiwa kuitumia nayo.

google hizi software ni bure
-handbrake

Ila the best ambayo imenivutia na pia ni rahisi kutumia inaitwa freemake video converter ni nzuri na nimeipenda sana.

-freemake video converter

Hizo nime-download tu kwa simu kupitia Uc Browser kisha nikazihamishia kwa laptop nikazi-install.

Freemake video converter haina vitu vya kuumiza sana kichwa na kupoteza muda sana, LAA. Ni una-add video una-click format utakayo then una-convert inaanza ku-convert. Na pia nimeona screenshot kwenye site yao kuwa kuna files tatu i hope unaweza ku-convert file zaidi ya moja kwa kutumia hii. This is the best for me.

Sjui labda kama kuna maelezo juu ya hizo nyingine lakini hii nimeona ni rahisi mno.

Chief-Mkwawa najivunia na nafurahia sana uwepo wako hapa mahala mkuu (JF) nashkuru na pia MUNGU akupe zaidi ya ulivyonavyo mkuu.

Heshima kwako sana mkuu.

Thanks a lot.

 
Back
Top Bottom