Msaada jinsi ya kurekebisha php code error

Aurelio_CSM

Member
Oct 14, 2014
57
22
habarini za saa hizi wadau, nina project yangu nimetumia php 5.5.15 na ikiwa kwenye localhost inafanya kazi vizuri, nimeiupload kwnye free hosting service kutoka hostinger, wao wanatumia php 5.5.32 kila nikiijaribu haifanyi kazi baadhi ya features na zingine zinafanya kazi vizuri na ninapata erros nyingi kama mnavyoona kwenye screensot. nisaidieni nitawezae kusolve hili tatizo? asanteni
 
mbona amna screenshot ??
 
Back
Top Bottom