kwa gharama hiyo na specification hizo sidhani kama utafanikiwa kupata kutoka kwa muuzaji yeyote iwe used au mpya, fanya juu chini uongeze kiasi zaidi.Jamani naitaji pc used iwe na hdd500 gb
Processor 2.6ghz
Ram 4gb nina laki tatu
desktop au laptopJamani naitaji pc used iwe na hdd500 gb
Processor 2.6ghz
Ram 4gb nina laki tatu