Tony guy
Senior Member
- Sep 29, 2015
- 107
- 44
Habari wakuu kwa kipindi cha wiki 2 zilizo pita nilitangaza kununua Idea ya mtu Kuhusiana na Technology (website) kuwa nanunua wazo kuhusiana na Website kwa mfano, mtu aliye tengeneza facebook hilo ni wazo la technology na ina muingizia pesa sasa naitaji Idea kama Hizo ya kuwa nitengeneze website gani ili iwe inaingiza pesa.
SASA KAMA NA WEWE UNA WAZO NICHEK PM AU 0743497079
SASA KAMA NA WEWE UNA WAZO NICHEK PM AU 0743497079