Jinsi ya kufuta thread

MSAADA WENU JAMANI JINSI YA KUFUTA THREAD AMBAYO NIMESHAIPOST....
 
Duh! Kifutio cha threads wanacho mods. Kama hutopenda thread fulani iwepo hewani, wandikie waifiche... Kuifuta ni kupoteza ushahidi. So nadhani wataishia kui hide tu...
 
Back
Top Bottom