Natafuta mfadhili / mdhamini wa website yangu ya Muvika Online

blogmaster

Senior Member
Aug 15, 2015
167
74
NAOMBA JF MUIFUTE HII THREAD KWASABABU NIMESHAULIWA NA WADAU WAPEDWA WA JAMIIFORUMS
ASANTE
 
Attachments

  • upload_2016-4-12_18-13-34.png
    upload_2016-4-12_18-13-34.png
    2.8 KB · Views: 87
Kila la kher naona kwa vile umeweka no za simu watajitokeza
Kwa ushauri zambaza Ujumbe huo wa Maombi kwenye mitandao mingine mungu yupo utafanikiwa
 
Mkuu website nikupe maksi kwenye User Interface. Iko poa sana. Ila tukirudi kwenye functionality sasa, kuonyesha movie za watu ni illegal bila copyrights, kwa nini ujiweke wazi kabisa kama mmiliki jina lako na contact zote wazi, wakati unajua what you are doing is illegal? Hata kudownload from Youtube is illegal,

Umejipanga vipi kuhakikisha kazi yako inakua ya halali? Maana hapo ulipo wakisema wanapiga hiyo namba sasa hivi wanaweza kuja na kukufunga anytime fasta sana evidence ya kuwa umecommit crime iko wazi, yaani kama kuna database ya cyber criminals utakua ushakua added kwenye list.

Ushauri wangu, futa blueprint yako kabisa sehemu zote uhakikishe no one can trace the site back to you hadi kwenye domain registration, hadi hapo utakapoihalalisha kwa kupata copyrights za hizo movies. Kua bongo doesnt mean watakuchukulia poa. Site za nje zote zinazofanya haya mambo huwezi jua ni nani anamiliki hata servers ziko behind many VPNs.
 
Ushauri mzuri. Dunia kwa sasa ni kijiji na copyright owners wakilalamika kupitia ubalozi wa Marekani basi wanawapiga mkwara hosts akaunti inafungwa. Tafuta mtu anayejua vizuri mambo ya underground Internet Akusaidie japo napo ukivuma sana wataku-shut down tu (cf. Dot Com owner wa Megaupload.com kutoka Australia/New Zealand?)

May be anza na wasanii wa hapa nyumbani wakuruhusu then muwe mnagawana mapato. Kaa chini ufikirie vizuri kuhusu ishu ya copyright! Good luck.
 
tatizo movie za bongo azilipi ila hapo hapo naomba nikuulize swali hao wanao tafafili movie wana copyright? maana na wenyewe wanatafasili movie bila kibali cha owner
 
Mkuu website nikupe maksi kwenye User Interface. Iko poa sana. Ila tukirudi kwenye functionality sasa, kuonyesha movie za watu ni illegal bila copyrights, kwa nini ujiweke wazi kabisa kama mmiliki jina lako na contact zote wazi, wakati unajua what you are doing is illegal? Hata kudownload from Youtube is illegal,

Umejipanga vipi kuhakikisha kazi yako inakua ya halali? Maana hapo ulipo wakisema wanapiga hiyo namba sasa hivi wanaweza kuja na kukufunga anytime fasta sana evidence ya kuwa umecommit crime iko wazi, yaani kama kuna database ya cyber criminals utakua ushakua added kwenye list.

Ushauri wangu, futa blueprint yako kabisa sehemu zote uhakikishe no one can trace the site back to you hadi kwenye domain registration, hadi hapo utakapoihalalisha kwa kupata copyrights za hizo movies. Kua bongo doesnt mean watakuchukulia poa. Site za nje zote zinazofanya haya mambo huwezi jua ni nani anamiliki hata servers ziko behind many VPNs.
kaka kufuta blue print una maanisha nn?
 
kaka kufuta blue print una maanisha nn?

Kufuta blueprint namaanisha any record kua unahusika na hiyo website, hata hii post ya jf, contacts zako zote futa, ikiwezekana site fungua kwa domain nyingine ambayo na yenyewe pia haipo registered kwa jina lako, although hata hosting companies nyingi wakijua unaonyesha movies wanakufungia account, hizi illegal activities zinafanywa na watu wenye their own servers zilizoko nyuma ya vpn kibao traffic inazungushwa mtu unashindwa ku~triangulate ip address ya original server kwa hiyo anakua completely invisible. Unaweza hisi nina~exaggerate mambo lakini ungejua jinsi watu wanavyo~mine data siku hizi ungeshangaa sana, siku uje kua mtu mkubwa sana hapo mbele they can always trace you back na kugundua ulijihusisha na vitu kama hivi, ofcoz sasa hivi site yako ni ndogo ila hizi sites za movies hua zinakuja kupata traffic kubwa mno with time..

Seems huna idea hata kidogo na internet security sitokushauri uonyeshe movies illegally hivi, Tanzania tunapoelekea ndani ya miaka mitano internet will be a serious business na unaweza ukawa kwenye matatizo sababu na mambo madogo kama haya. Nitakushauri ufikirie something that could work ambacho ni completely legal.
 
sawa kaka nimekuelewa ila hii idea siwezi kuiacha nitajitahidi kupata kibali cha kuniruhusu niwe nafanya hivyi kwani hawa www.gooddrama.net, www.imdb.com na wengine mbona wanafanya vitu vyao public MSAADA
 
IMDB hawana movie za kudownload, wao wanaonyesha trailers tu, na ratings,
gooddrama wanaonyesha drama illegally, kwa kua wapo hewani usidhani wanaruhusiwa, tafuta mmiliki ni nani uone kama utampata, wanaficha identity au wanaweka za uongo maana wakikamatwa wanafungwa,sasa kama unawaiga usiwaige kwa kujiexpose ovyo, wanajua wanachokifanya seems to me hujui unachokifanya. Fanyia research vizuri mambo ya copyrights ujue ni nini na kwa nini inapigwa sana vita, na kwa nini pirsting sites bado zipo hewani, wanafanya nini kusurvive.

Ukitaka kuamini unachofanya sio halali, omba ads kutoka google wapitie site yako uone kama watakupa kibali, usitumie link kutoka kwenye account ambayo tayari isharuhusiwa, au omba hata facebook waipitie uone watakavokutupilia mbali fasta.

Kumbuka kibali huwezi pata toka bongo, na kibali unapata cha kila movie, hakuna sehemu unaweza kwenda wakakupa kibali uonyeshe movie zote dunia nzima, kampuni kama Netflix ni moja ya kampuni zinazoonyesha movies kihalali, wanalipa hela nyingi sana kuonyesha movie.
 
sawa kaka inabidi na mimi niwe ki-private zaidi kama hao goodrama ila sasa itakuwaje kwani member wangu walipia kwa njia ya simu lazima niweke namba zangu za simu ukisema niweke mastercard au paypal jua kuwa wengi hawana huduma hiyo msaada please hapo
 
Kwa sasa kama unalipisha watu hapo mkuu sina la kukusaidia, uombe tu usikamatwe, utaachwa sasa hivi kwa kua site yako bado ni ndogo na pili kwa kua uko Tanzania, TCRA hawana muda na mambo kama haya, ungekua kama UK vile ungekua ushakua deported.
 
blogmaster ushauri wa NullPointer uzingatie sana. Kwa kuanzia ungeiweka site yako offline kwa muda mpaka ukisha settle hizo issues. Nakushauri ufanye utafiti namna NetFlix wanavyoingia mkataba na hao producers. Kisha tafuta contacts za wenye video zao au producers ili wakuruhusu (jiandae kuwaambia watafaidika vipi).

Nashauri ungeanza na Movie za hapa kwetu kwanza maana ni rahisi kupata kibali toka kwa producers then expand as you get permission.

Kumbuka, short-cut is always indefinitely long!
 
Kaz nzur nakupongeza mtanzania mwenzangu, ww ni mbunifu, lkn nasisitiza namm ufanyie kaz ushauri wa wakuu Nollpointer &Shimba, big up sana kwao
 
Kwa sasa kama unalipisha watu hapo mkuu sina la kukusaidia, uombe tu usikamatwe, utaachwa sasa hivi kwa kua site yako bado ni ndogo na pili kwa kua uko Tanzania, TCRA hawana muda na mambo kama haya, ungekua kama UK vile ungekua ushakua deported.
asante kiongozi asante kwa ushauri wako nitafanyia kazi
 
asa
blogmaster ushauri wa NullPointer uzingatie sana. Kwa kuanzia ungeiweka site yako offline kwa muda mpaka ukisha settle hizo issues. Nakushauri ufanye utafiti namna NetFlix wanavyoingia mkataba na hao producers. Kisha tafuta contacts za wenye video zao au producers ili wakuruhusu (jiandae kuwaambia watafaidika vipi).

Nashauri ungeanza na Movie za hapa kwetu kwanza maana ni rahisi kupata kibali toka kwa producers then expand as you get permission.

Kumbuka, short-cut is always indefinitely long!
nte

tuko pamoja nitafanya hivyo
 
Back
Top Bottom