Msaada kuhusu laptop yangu

goodhearted

JF-Expert Member
Feb 15, 2015
967
1,207
wataalam wa kompyuta mnisaidie tafadhari, kila nikiwasha laptop yangu inaniletea maneno "startup repair" na inaleta alama flani kama inaload vile chini yake kuna maneno "atempting repairs..."

sasa imechukua muda mrefu sana bila kurudi katika hali yake

kwa mwenye ufahamu kuhusu hili anisaidie kwa ushauri tafadhar kuinusuru mashine yangu

na nikicancel inagoma inaandika operatiom cannot be cancelled
 
change operation system or repair os its very simple..
 
Ni jinsi gani naweza badili window wakuu coz wakati nanunua laptopo yangu niliwekewa window 7 na nikapewa ziada ya disc ya window 8
 
Mimi Laptop yangu nikiiwasha tu inapiga alamu halafu inawaka then keypad kuna namba hazifanyi kazi! Msaada wenu Tafadhali nifanyeje?
 
inapowaka bonyeza F8 kisha itakuja kama hivi ADVANCED BOOT OPTION
kama ni w7

640x496x10srt.png.pagespeed.gp+jp+jw+pj+js+rj+rp+rw+ri+cp+md.ic.2BgXIDibRR.png

Nenda kwenye Repair you computer
615x460x15srt.png.pagespeed.gp+jp+jw+pj+js+rj+rp+rw+ri+cp+md.ic.YsYg5gdBot.png

ikikataa kuwa ktk hali yake ya kawaida badili windows
 
wataalam wa kompyuta mnisaidie tafadhari, kila nikiwasha laptop yangu inaniletea maneno "startup repair" na inaleta alama flani kama inaload vile chini yake kuna maneno "atempting repairs..."

sasa imechukua muda mrefu sana bila kurudi katika hali yake

kwa mwenye ufahamu kuhusu hili anisaidie kwa ushauri tafadhar kuinusuru mashine yangu

na nikicancel inagoma inaandika operatiom cannot be cancelled
Ni windows itakuwa tatizo, ni pm nikusaidie
 
inapowaka bonyeza F8 kisha itakuja kama hivi ADVANCED BOOT OPTION
kama ni w7

640x496x10srt.png.pagespeed.gp+jp+jw+pj+js+rj+rp+rw+ri+cp+md.ic.2BgXIDibRR.png

Nenda kwenye Repair you computer
615x460x15srt.png.pagespeed.gp+jp+jw+pj+js+rj+rp+rw+ri+cp+md.ic.YsYg5gdBot.png

ikikataa kuwa ktk hali yake ya kawaida badili windows
fanya window repair kama mdau alivyokueleza achana na swala la kupiga piga window hovyo na siyo Kila tatizo kwenye PC linatatuliwa na kushusha window
Muda mwingine kushusha window ovyo ndo uleta matatizo kwenye PC mfano kuuwa hard drive yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom