TCRA: Tanzania has 40 Million Mobile Subscribers and 17 Million Internet Users (as of Dec 2015)

n00b

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
1,007
2,675
Extracted From the recent news alert from TCRA (March 19, 2016)
Kuhusu maendeleo ya sekta, (Dr. Simba) alisema hadi Desemba 2015, idadi ya laini za simu za mkononi ilikuwa 39,808,419 ukilinganisha na 2,963,737 mwaka 2005.

Watumiaji wa intaneti walifikia 17,263,523 Desemba 2015 ukilinganisha na 1,013,104 mwaka 2005.

Tanzania_Mobile_Stats.png

========

For English Audience:

Tanzania_Internet_2015.png

Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) on Sunday, in its report, announced that the number of Mobile phone subscribers jumped up by 25% in 2015 to reach 39,808,419 users while the number of Internet users rose 52% to reach 17,263,523.

This is a good increase from 2014, where the number of mobile phone subscribers was at 31.86 million and Internet users was at 11.35 million.

TCRA attributes the growth of mobile phone subscribers and internet users to the launch of cheaper smartphones in the country and the 3G Network infrastructure built.

With a population of 47 million people, Communications is one of the fastest-growing sectors in Tanzania, which now has a mobile phone penetration of more than 65 percent.

This is a great opportunity for a lot of brands, IT firms, developers and any Internet enthusiast to invest in Internet and Mobile services.

In other news, the telecom industry regulator said that it had shut down a fake Facebook account and website that used the name of the First Lady, Janeth Magufuli, to con people.

========

UPDATED:

As of December 2016, Tanzania has 19,8862,525 internet users.

See attached PDF file

Screen Shot 2017-04-01 at 08.01.19.png
 
Attachments

  • CommStatDec16.pdf
    880.3 KB · Views: 205
TCRA mtusaidie kudhibiti kampuni za simu kuhusu muda "wanaodai wanatuuzia".

Mimi nikiweka salio, nikaambiwa nina dakika kadhaa, nikaongea na baada ya muda nikaambiwa muda wangu umekwisha, nani anathibitisha kama muda umekwisha kweli na sijaibiwa na kampuni ya simu?

Mitambo yenu inao uwezo wa kudhibiti "muda" tunaouziwa na kampuni ya simu? Au ndiyo mnafanyia kazi sasa baada ya kina Mama Nzagi kustaafishwa?
 
Hatutaki haya mambo ya sensa za simu, tunataka wawabane wana mitandao kwa kutunyonya! Mitandao ya simu hadi ving'amuzi.
 
Wameshindwa kuifunga simu niliyoibiwa nimesikitishwa sana.... Jibu nililopewa ni kuwa niende office za kampuni ya simu niwapigie TCRA kisha niwape simu wao ndio waongee na kampuni ya simu... jibu la kijinga hilo lilinifanya niwaone wapuuzi kuliko Jipu....

Raisi anakazi kubwa sana kunyoosha watu wawajibike... maana kila sehemu watu wanafanya kazi kwa mazoea...
 
Extracted From the recent news alert from TCRA (March 19, 2016)

View attachment 336621

========

For English Audience:

Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) on Sunday, in its report, announced that the number of Mobile phone subscribers jumped up by 25% in 2015 to reach 39,808,419 users while the number of Internet users rose 52% to reach 17,263,523.

This is a good increase from 2014, where the number of mobile phone subscribers was at 31.86 million and Internet users was at 11.35 million.

TCRA attributes the growth of mobile phone subscribers and internet users to the launch of cheaper smartphones in the country and the 3G Network infrastructure built.

With a population of 47 million people, Communications is one of the fastest-growing sectors in Tanzania, which now has a mobile phone penetration of more than 65 percent.

This is a great opportunity for a lot of brands, IT firms, developers and any Internet enthusiast to invest in Internet and Mobile services.

In other news, the telecom industry regulator said that it had shut down a fake Facebook account and website that used the name of the First Lady, Janeth Magufuli, to con people.

FULL REPORT => DOWNLOAD HERE
taarifa kama hii inaitaji TCRA kutoa na hii nayo ni kazi ya msingi ya TCRA kweli semina zote hizo kwenda marekani haya ndio matokeo yake
 
Hiyo takwimu ya line za simu sio relevant sana watu mwanzoni walikuwa na line nyingi haiwezekan watanzania takriban mil 45-48 au 50 kukawa na subscrbers wot hao, nadhan pia wangeongeza wastani wa muda wa maongezi kwa siku.

Hiz takwimu zina maana kubwa sana kwenye kodi, na uchumi wa nchi kwa ujumla. Mfano mambo ya tigo pesa active users wako wangapi. Najaribu kudhania tu lakin
 
Kuna wengine wana laini za simu zipatazo tatu n.k zenye majina tofauti,Hizo zote zinamilikiwa na mtu mmoja..........Lakin kwenye seva ya TCRA inasomeka ni watu tofauti.
So takwimu lazima ziwe invalid.
 
Je, ni kodi kiasi gani imekusanywa kutoka kwa hayo makampuni ya simu?

Tunataka wakokotoe airtime na kodi ya VAT wakati mteja anapoweka salio aone ni kodi kiasi gani amelipa. Kwa sasa hatujui kama kodi yote inakusanywa na TRA kutoka kwa hayo makampuni.

Nchi nyingi duniani zina mfumo huo kwa hiyo na TCRA na TRA wahakikishe kuwa hatuibiwi kodi kwenye eneo hili la uchumi linalokua haraka. Kama hawajui cha kufanya waende Mauritius wakajifunze.

Mawaziri Phillip Mpango na Mbarawa kazi kwenu siyo mpaka rais atoe agizo.
 
Kuna wengine wana laini za simu zipatazo tatu n.k zenye majina tofauti,Hizo zote zinamilikiwa na mtu mmoja..........Lakin kwenye seva ya TCRA inasomeka ni watu tofauti.
So takwimu lazima ziwe invalid.
Mtu mmoja, laini zaidi ya moja tena kwa majina tofauti? hapo kuna tatizo. Ina maana mtu wa jinsi hii ana vitambulisho zaidi ya kimoja na kwa majina tofauti. Kwa hakika mtu wa jinsi hii anafanya mambo yake kimtindo na mwisho wake si mzuri.

Mkuu kichwa kikubwa takwimu ni takwimu tu kwani zinaakisi kilicho rekodiwa ndo maana zahesabika laini zilizosajiliwa na si wamiliki wa hizo laini.

Mimi mwenyewe nina laini mbili za simu kwa mawasiliano ya simu na modem moja, lakini vyote vimesajiliwa kwa jina langu nikitumia kitambulisho kilekile kimoja.
 
hivi kwa wale wanaotumia sim zisizokuwa na uwezo wa data wakijiunga na vifurushi zile MB zinaendaga wapi?
 
Wame-sort hadi tunaotumia line 2-4 kwa kufuata promo mbalimbali katika haya makampuni yetu ya simu?
 
Wameshindwa kuifunga simu niliyoibiwa nimesikitishwa sana.... Jibu nililopewa ni kuwa niende office za kampuni ya simu niwapigie TCRA kisha niwape simu wao ndio waongee na kampuni ya simu... jibu la kijinga hilo lilinifanya niwaone wapuuzi kuliko Jipu....

Raisi anakazi kubwa sana kunyoosha watu wawajibike... maana kila sehemu watu wanafanya kazi kwa mazoea...
Kaka kufungia simu sio jambo la dakika moja lazima wajiridhishe kwanz .. Mtu unaweza ukawa na chuki zako na kutaka kufunga simu ya mbaya wako.. Kwa hio lazima wajirizishe
 
kila mtanzania anamiliki mitandao zaidi ya tatu kufuatana na wepesi, watu ni wale wale hawazidi milioni 10 hila wanabadilisha mitanzao sana
 
Bei ya vifurushi tatizo
Mfano ukinunua bundle ya elf 1 unapewa 1gb ok, sasa ukinunua bundle ya 500 unapewa 300mb sio 500mb na sh 250 ndio wanaua kabisa mb 50 badala ya 250mb,kweli asie nacho hata kile kidogo atanyang'anywa ni airtel hao
 
Back
Top Bottom