Mi ni graduate wa IT & Telecom, naulizia kampuni/Taasisi/mtu mwenye ofisi inayodeal na mambo ya IT &Telecoms kwa hapa Moshi ambayo itanipa nafasi ya kuchukua uzoefu na ujuzi zaidi juu ya computer networking(LAN installation), Application Software development, Security systems (Sensor, CCT Cams) na hata Sat dish mounting.
Natumaini mtanipa ushirikiano hata wa kunielekeza kwa wahusika.
Natanguliza shukrani.
Natumaini mtanipa ushirikiano hata wa kunielekeza kwa wahusika.
Natanguliza shukrani.