Habarini wakuu:-katika zungukazunguka yangu leo kariakoo kwa ajili ya kununua tv,nimekutana na majina ya tv tofautitofauti(sumsung,TCL,singsung,ZEC,sony nk)naomba kujua vp kuhusu hizi zec,na tcl je zinaubora kama sumsung(maana sumsung ndo watu wengi wanasifia)