Naombeni msaada juu ya websites

kimbi van nyasi

New Member
Jan 12, 2016
4
1
Sorry guyz kwa mtu yoyote mtaalam wa maswala ya website na blogs anisaidie natamani jua saba blogs na websites znamasirahi gan na pia ni jinsi gan unaweza imiriki na kuitumia!!!!!!
 
Sorry guyz kwa mtu yoyote mtaalam wa maswala ya website na blogs anisaidie natamani jua saba blogs na websites znamasirahi gan na pia ni jinsi gan unaweza imiriki na kuitumia!!!!!!

Umejaribu ku-search ndani ya JF kuhusiana na hilo suala lako ukakosa thread. Na sio thread ni threads nyingi tu zimeongelea hizo mambo za blogs na websites ndugu.

Najua sio kosa lako ni ugeni tu labda coz naona umejiunga January.

Nakushauri, siku nyingine kabla ya kuanzisha mada jaribu ku-search kitu unachohitaji ukiona umekosa/hakipo ndipo uanzishe mada yako tafadhali.

Jaribu kupitia hizo links hapo chini tafadhali na kama utakuwa na maswali utauliza hukohuko kwa hiyo thread.

Jinsi ya ku-design Blog inayolipa (Part 1)

Web development for beginners in swahili

Karibu sana JF.
 
Back
Top Bottom