Wakuu kuna mtu anajua jinsi ya kufix lost imei ya modem (huawei), imetokea baada ya kuflash na firmware nyingine for unlock. Sikufanya backup ya nv. IMEI inasoma 0.0.0.0.0.0.0
Kwahiyo hizo modem zitashare imei? Kuna njia yoyote ya kuwrite imei yake iliyokuwepo zamani? Maana naona imei kuwa 0.0.0.0.0 mitandao mingine haisomi. Shukrantafuta modem nyingine backup nvitems then chomeka yako ilokufa ifanyie Restoration kutumia hizo NV ulizo backup.
Hii ni trick nilikua nkitumia nkikosea ku Unlock zile modem za E173
However kuna AT Command ya ku change IMEI ya modem you search and try to Run it with any Terminal software like Putty or DC-Unlocker