Whatsapp inatumia END TO END ENCRYPTION . Ili kuweza kutumia feature hii ni lazima wote mnaochati muwe mnatumia whatsapp latest version. Endapo mmoja wenu hana latest version, then hutopata feature hii.hbr! wakuu ningependa jua juu ya hiiwhat encryption na utendaji wake wakazi na unawza itumia .
MH! Teknolojia bhanaWhatsapp inatumia END TO END ENCRYPTION . Ili kuweza kutumia feature hii ni lazima wote mnaochati muwe mnatumia whatsapp latest version. Endapo mmoja wenu hana latest version, then hutopata feature hii.
End to end encryption inafanyaje kazi?
Unapoandika ujumbe ukiutuma unabadilishwa kuwa lugha isiyo eleweka (cipher text) na key ya kung'amua lugha hiyo inatumwa kwake yeye mpokeaji. Hivyo mpokeaji anapopokea ujumbe uliofungwa (cipher) key inliyotumika kuifunga ndio inayotumika kufungua ujumbe huo.
Mfano rahisi wa encryption.
Ujumbe ufuatao umefungw kwa funguo ya 1
Oblvqfoeb tbob.
Key =1
Tukiufungua ujumbe huu tunapata neno lifuatalo'
Nakupenda sana.
no kinachotakiwa ni mtu A na B wote muwe na latest version ya whatsapp hii ni kwa maana encryption ni new updates Kati ya updates Za whatsapp walizo release hii ni usahidia usalama zaidi Kati yenu wawili mnaochati kwa maana Amna mwingine atakaye weza ona mlicho kiongea na yeye akifungua ataona lugha ya ajabu ajubu ambayo ataiyelewaSo nikitaka kufanya encrypt ni lazma physical nikutane na muhusika imean A na B lazima wakutane ili waweze fanya message zao wanazochat whatsapp kuwa encrypt