Msaada software ya kutafsiri

kateka

JF-Expert Member
Nov 30, 2012
577
369
Nomba msaada, nina manual book yenye lugha ya kijapan sasa nahitaji software ya kutafsiri kwenda kiingereza kama kuna mtaalam anayo. Msaada tafadhari.
 
ku moja ngoja nikutaftie ipo playstire kama MB5 baada una download ya unadownload lugha unayoitaja english ni 70MB
 
aaa0a52ca6a35395d73b13a63db6d7bf.jpg
 
Back
Top Bottom