Naogopa kushop online kiongozi....
Hahaha... Asante dear nimemsoma na nimeshamPM.... Maana naitaka kweli hii simu
Za sa izi? Ningependa ku shop online laptop? Unaweza kunipa maelezo namna ya kufanya?TATIANA , RASHID BARUTI
Kwa baadhi ya simu upatikanaji wake ni mgumu kwa hapa nchini.
Njia rahisi ni kuagiza online.
Kama unahitaji kuagiziwa waweza saidiwa.
Bidhaa ambazo huwa tunapendelea kuagiza online ni zile ambazoZa sa izi? Ningependa ku shop online laptop? Unaweza kunipa maelezo namna ya kufanya?
Inategemea ni wapi unataka kuagiza, Ila pitia hizi thread kwanza ili kujifunza.Unaweza kunipa maelezo namna ya kufanya?
Hahaha... Asante dear nimemsoma na nimeshamPM.... Maana naitaka kweli hii simu
Utaipata,kwa sasa technology imekua .So you can buy anything anywhere.Pia kuna brands nyingine kama Xiaomi,Meizu ni nzuri sana pia.Kama huwezi kuagiza wewe mwenyewe I can help you.Habari wakuu
Nahitaji simu hii ya Lenovo K3 Note, naomba anayefahamu anijulishe kwa Dar nitapata wapi?
Natanguliza shukrani
Mkuu nahitaji hii huduma..tuwasilianeBidhaa ambazo huwa tunapendelea kuagiza online ni zile ambazo
- Hazipatikani kiurahisi hapa nchini. au
- Hata ukipata hapa nchini Cost yake inakuwa kubwa mara 2 au mara 3 ya ghalama ambayo ungetumia kuagiza, kusafirisha na ushuru.
Inategemea ni wapi unataka kuagiza, Ila pitia hizi thread kwanza ili kujifunza.
Iwapo kuna mahala hapajaeleweka kwenye hizo thread tafadhali uliza
Nitumie PM auMkuu nahitaji hii huduma..tuwasiliane