Abu Haarith
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 314
- 165
Habari ndugu zangu wa jukwaa hili ninahitaji kufungua website kama ya kupatana,jumia,kaymu n.k kwa mwenye uwezo wa kutengeneza anitajie gharama kama anahofia hapa ani PM
online market kama jumia kaymu au kupatana. havihitaji wewe mmiliki uwe na biashara au duka au supermarket. Kila mtu anaweza kuwa muuzaji kama ilivyo jukwaa la Mtangazo madogo la JF. kila anayeweka bidhaa yake mnakubaliana bei ya kuuza na mnagawana faida. Jumia ndio mfano mzuri hapa Tanzania ambapo ilianzia Nigeria.Gharama ya kutengeneza web kama kaymu inaweza kuwa ndogo kwanzia 500k-5m ila kuo run sio pesa ndogoo....watu wengi wamefungua haswa kko ila imewashinda kurun..sio kazi ya mtu mmoja au wawili it needs a team haswa kwa Tanzania mana wajuzi ni wachache na hata IT yetu hawana experince ya ku run unless wana exposure kidogo... nime kiandikia hvi kwa sababu usije poteza hela kutengeneza kitu huwezi endesha ....kuna supermarket imeanzishwa juzi kati wana fungua ecomerce yao hapa bongo pia... na wameliona nacho ongelea na wamelifanyia kazi kwa kuwatafuta wafanyakazi wa mmoja wapo ya ecomerce kubwa hapa bongo ili wawe staff wao.....
Nime ku PM mkuu nikudondeshe huu mzigo chapHabari ndugu zangu wa jukwaa hili ninahitaji kufungua website kama ya kupatana,jumia,kaymu n.k kwa mwenye uwezo wa kutengeneza anitajie gharama kama anahofia hapa ani PM