4G vs. 3G Speeds

leh

JF-Expert Member
May 30, 2012
827
369
kutoka Vodacom watoe 4G yao, naona watu wanalinganisha speeds za Halotel na 4G. mwenyewe kama mtumiaji wa Halotel bundle ya usiku, nawapenda sana, lakini kulinganisha speeds za 4G na 3G ni kitu kiingine.

nimeona ni vizuri nifanye tests mwenyewe nijue kama kweli speeds zinalingana. for those still wondering kama 4G ni kweli, here are the results

N.B natumia Tigo 4G

4G
k3F1zKV.png

3G
i8k3QNi.png
 
Halotel 3G tena mnara haupo mbali sana na home.

7027ed74f167d546ca5180e0fdf99e1b.jpg

4g ikaendelea kuwa moto wakuotea mbali.
 
Mkuu ustufanye tutoe tusi bure tigo tuinjua na Halotel tunaijua tokalini tigo wakafika 22MB per sec hatakama usiku wa saa nane wakizidi ni 4 au 5 MB kwa modem ya kawaida
 
Si unaona ni 4G?au kuona neno tigo tu ume reply
 
Sasa umejiuliza endapo hatz wataamua kuwa na lte nini kitatokea??????

Nawewe kwanini ulinganishe 4g ya tigo na 3g ya halotel unatupa picha gani???

Huoni kuwa kutoka rohoni kwako una wasiwasi na tigo???
 
kutoka Vodacom watoe 4G yao, naona watu wanalinganisha speeds za Halotel na 4G. mwenyewe kama mtumiaji wa Halotel bundle ya usiku, nawapenda sana, lakini kulinganisha speeds za 4G na 3G ni kitu kiingine.

nimeona ni vizuri nifanye tests mwenyewe nijue kama kweli speeds zinalingana. for those still wondering kama 4G ni kweli, here are the results

N.B natumia Tigo 4G

4G
k3F1zKV.png

3G
i8k3QNi.png

Mbona screenshot ya kwanza na ya pili zote ni Vietel? na ya kwanza umeandika 4G , ya pili 3G
 
anataka kutuchanganyia habari huyu.

PAMOJA NA HAYO KITENDO CHA KULINGANISHA 4G VS 3G NI KUKUBALI MOJA KWA MOJA KUWA WANAOTOA HUDUMA YA 3G WAPO VIZURI KIASI CHA KULINGANISHWA NA 4G.
 
kutoka Vodacom watoe 4G yao, naona watu wanalinganisha speeds za Halotel na 4G. mwenyewe kama mtumiaji wa Halotel bundle ya usiku, nawapenda sana, lakini kulinganisha speeds za 4G na 3G ni kitu kiingine.

nimeona ni vizuri nifanye tests mwenyewe nijue kama kweli speeds zinalingana. for those still wondering kama 4G ni kweli, here are the results

N.B natumia Tigo 4G

4G
k3F1zKV.png

3G
i8k3QNi.png
mimi mwenyewe huwa nashangaa watu wanaozilinganisha ,3g ya halotel na ya tigo huku nilipo zina speed sawa na 4g ya tigo ni moto wa kuotea mbali hata hauwezi kufananisha.
 
Back
Top Bottom