Halotel ukiingia ndani network inashuka

cheesygoon

Member
Nov 21, 2014
11
0
Sijui ni mimi tu au.? Kwasababu halotel nikiingia ndani tu network inashuka hadi bar 2 au inabaki lakini data inakataa kabisa kufunguka. Nimesha jaribu sehemu kama 3 mikoani lakini ni hivyo hivyo.
 
Lg nafkr znazngua,.hata me nnae lg g2 d801 na2mia halotel sa nyngne nkiweka wcdma only inakubal 4g af badae meyerk inakata, lakn ni mwendo wa edge kwa kwenda mbele kmtndo inansogeza sio haba, nshachoka ss naambiwa niunlock code ndo isome 3g netwrk
 
Halotel wana 4G toka lini?
 
Back
Top Bottom