Unable to find a bootable option windows phone

Unable to find a bootable option windows phone

Agera 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
4,144
Reaction score
4,321
Unable to find a bootable option, kuna mwenye tatizo kwa window phone yake kuandika hivyo?
 
daa sijui ata ila ni windows 8.1 denim
 
yan ikiwaka inaishia hapo haiendelei
 
hivi kutumia hyo window device recovery tool ni mpaka ufix ukiwa online
online inaenda kudownload rom tu, itabidi uwe na bundle ya kutosha kama 2gb hivi.

uzuri wa hio tool kila kitu inafanya yenyewe we unaianzisha unaendelea na mambo yako.

pia ikishadownload rom mara moja mara ya pili na kuendelea haitadownload hivyo siku za baadae simu ikipata matatizo utairudisha mara moja
 
shukran mkuu hizo nyingne hazikubal hapa naona had ni fix kwa hiyo window device recovery tool. hapa nachelewa kwa ajil pc cna had nitafute
 
Back
Top Bottom