Kuna mtu alifanikiwa kumtoa .locky virus

Kuna mtu alifanikiwa kumtoa .locky virus

deejaywillzz

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
637
Reaction score
224
Habari wakuu,

.Locky virus amekuwa famous mwaka huu na hadi sasa anasumbua dunia kwa ku encrypt documents na ana ambukiza kwa kupitia email.

Kuna mtu aliyepata solution, zaidi ya hunterspy4 AntiVirus
 
Back
Top Bottom