Naomba application ya kuweka Black list kwenye simu

Kumbe hii App inasaidia eeeh?Ngoja niichukue maana kuna mapopoma yanazingua sana.
Mtu akikosea namba akikutana na sauti ya kike kosa,taabu tupu!
usiniblock basi mm ndo yule nae kupigiaga usiku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom