bange frank
Member
- Jul 21, 2015
- 26
- 23
Wakuu naombeni mnisaidie kujua kama simu yangu ni feki au original.aina ya simu yangu ni samsung grang 2 duos.niliangalia kwa kutumia na ya TCRA *#06#ikaniletea IMEI hazifanani za nyuma ya cm lakin nitumia namba za imei zilizo nyuma ya cm inaleta jina sahihi ya cm kama ilivo!tatizo imei za tcra hazifanani na za cm zilizopo nyuma ya cm hapo ndo nimeshindwa kupata jibu ni original au feki sim ni samsang grand 2 made in korea.