Jaribu hii "Pineng" iwe genuine ya mAh 20000 .Utaleta mrejesho mwenyewe.naitafuta powerbank itakayoweza kupandisha chaji wakat naendelea ku surf yenye mAh 30000 na zaid. ninayo ya samsung mAh 16000 lakin naona chaj haipandi nikiwa internet surfing. iwe nzuri kwa ubebaji. najua humu ndo kila kitu.
umejitahidi kukusanya ufaham wako wote ukaishia hapo. huku ni kwa wataalam na wajuzi wa mambo ya electronics kuna jukwaa lako humu Jf litumie tu.hakuna power benki nzuri zaid ya makalio yako wewe jaribu kuchaji sema tafta waya mzuri maana ukipata wenye volit ndogo shoti lazima ipige