Msaada wa haraka jamani Please

kim jung shik

Senior Member
Mar 26, 2014
129
23
Jamani mimi ni mwanafunzi wa chuo cha ATC nasoma telecomunication and electronics.

Natafuta field sasa kuna kampuni inaitwa CAM SAT sijui ipo wapi, nataka nikaombe hapo.

Jamani nisaidieni wiki ya tano sasa toka field ianze mimi bado
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom